Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, May 17, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi ajumuika na wananchi katika kusaidia na kukarabati nyumba zilizoharibika!

Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi RC Ayoub Mahmoud akibeba kipolo cha mchele yeye mwenyewe wakati akiendea kuvikabidhi kwa familia zililoathirika na maafa ya mvua

Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi RC Ayoub Mahmoud akiwa pamoja na mafundi kukarabati paa la moja ya nyumba iliyoathirika na maafa ya mvua na upepo mkali hivi karibuni




No comments :

Post a Comment