PICHA ZINGINE ZA MTANANGE WA NEW YORK NA DMV ZIKIWEMO ZA BBQ
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New Yrrk Mhe. Modest J. Mero akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mechi kati ya DMV na New York iliyochezwa Jumamosi July 15, 2017 katika viwanja vya Lincoln Park Jersey City, New Jersey na DMV kuibuka washindi kwa bao 4-3
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New Yrrk Mhe. Modest J. Mero na mgeni wake Jaji mkuu mstaafu Mhe. Jaji Othman Chande katika picha ya pamoja na timu ya DMV
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New Yrrk Mhe. Modest J. Mero na mgeni wake Jaji mkuu mstaafu Mhe. Jaji Othman Chande katika picha ya pamoja na timu ya New York.
Mashabiki wakisubili mtanange.
Golikipa wa DMV.
Wachezaji wa DMV
Wachezaji wa DMV
Wachezaji wa DMV
Wachezaji wa DMV
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New Yrrk Mhe. Modest J. Mero na mgeni wake Jaji mkuu mstaafu wakisalimia na Wachezaji wa New York

Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New Yrrk Mhe. Modest J. Mero na mgeni wake Jaji mkuu mstaafu Mhe. Jaji Othman Chande wakisalimia na Wachezaji wa New York
Kocha mchezaji na timu Kepten wa DMV Libe akipata picha ya kumbukumbu na Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Jaji Othman Chande
Timu za New York na DMV katika picha ya pamoja
No comments :
Post a Comment