zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 12, 2018

Fujo zatokea makao makuu ya Yanga, kiongozi akoswakoswa ngumi!



Baadhi ya wanachama wa Yanga jana Jumapili jioni walikusanyika katika makao makuu ya klabu hiyo na kuanza kufanya fujo wakipinga kufanyika kwa uchaguzi wa kujaza nafasi za viongozi waliojiuzulu.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya baadhi ya viongozi wa Yanga kukubali kufanyika kwa uchaguzi huo ambao umepangwa kuwa tarehe 1 mwezi Januari 2019.

Moja ya viongozi ambaye amefanyiwa fujo ikiwa ni pamoja na kukoswakoswa ngumi ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji Thobas Langalanga ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa Kaimu mwenyekiti wa klabu ya Yanga.

Wanachama hao wamesema hawataki kusikia suala la uchaguzi wakieleza bado wanamtambua Yusuf Manji kuwa ni Mwenyekiti wa klabu.

No comments :

Post a Comment