zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 2, 2018

"Tupo Tayari Kurudi Bunge Maalum la Katiba ya Warioba Bila Posho"- John Mnyika!

Mbunge John Mnyika ambae ni naibu katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA, kupitia ukurasa wake wa twitter amemtaka Rais magufuli kuitisha bunge maalum bila posho ili wakafanyie maboresho rasmu ya katiba ya Jaji mstaafu Joseph Sinde warioba, ombi hilo la Mnyika limetokana na kauli aliyoitoa jana Mh Rais kwenye mdahalo uliofanyika chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo Mh Rais alisema hategemei kutenga hela ya posho kwa ajili ya bunge maalum.

No comments :

Post a Comment