Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 2, 2018

Zitto afikishwa Mahakama ya Kisutu!

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. 
Taarifa iliyotelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Ado Shaibu bila kueleza sababu za kufikishwa kwake Mahakamani hapo, akitokea kituo cha Polisi Mburahati.
"Zitto anapelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu muda huu akitokea kituo cha Polisi Mburahati," amesema Ado katika taarifa hiyo. Ikumbukwe Zitto anashikiliwa kwa kile alichodai idadi ya watu 100 waliouawa Kigoma katika Mkutano wake na waandishi wa habari ulifanyika wiki iliyopita.

No comments :

Post a Comment