zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 2, 2018

China yazindua simu yenye uwezo wa kukunjwa kama waleti!

Kampuni moja ya kiteknolojia yenye makao yake California Marekani imeweka rekodi kwakuwa ya kwanza kuzindua simu ambayo unaweza kukunjwa.

Royole Corporations imezindua FlexiPai katika hafla ya kufana mjini Beijing China. Kampuni hiyo imeanza kuuza simu hiyo janja nchini China tarehe 31 ya mwezi Oktoba baada ya kuzinduliwa kwake.

Gharama yake inakadiriwa kuwa Yuan 8,999 (dola 1,290), RAM GB 6 Snapdragon 8-series. Hata hivyo Royole FlexPai huwenda ikaanza kupata ushindani baada ya Samsung nao kutarajia kutoa toleo lake jipya juma lijalo huku LG na Huawei nao wameripotiwa kufanya mageuzi makubwa ya simu janja za mkononi ‘Smartphone’. FlexPai imebezi zaidi katika simu aina ya ‘tablet-phone’ ina nchi 7.8 na features ratio 4:3.

No comments :

Post a Comment