Picha ya warembo kutoka Tanzania
Wizara ya Utalii imezindua shindano la kuwapata wanawake hao watakaowavutia watalii, shindano hilo linajulikana kama Miss Curvy Uganda.
Waziri wa utalii nchini humo, Godfrey Kiwanda amependekeza kuwe na onyesho la wanawake wenye maumbo makubwa ili kuvutia wageni zaidi wanaoitembelea nchi hiyo.
"Tumepewa uwezo wa kawaida, wanawake wenye kutazamika ambao wana mvuto machoni kuangalia," amesema waziri huyo.
Hata hivyo Kauli hiyo haikupokelewa vyema nchini humo hasa kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kuwa kwa mwaka 2018 sekta ya utalii iliingizia Uganda Tsh. Trilioni 3.2.
No comments :
Post a Comment