Mkoa mmoja nchini China umefunga maeneo 32 ya kuvutia watalii yaliyojengwa kwa kioo - ikiwa ni pamoja na madaja, njia za kutembea kwa miguu na maeneo ya kujionea kwa umbali mandhari ya kupendeza - ili kutoa nafasi ya uchunguzi wa usalama wa maeneo hayo.
Maeneo 24 yaliyojengwa kwa tumia kioo katika mkoa wa Hebei, yamefungwa tangu mwezi Machi mwaka 2018, kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha kitaifa CCTV.
Maeneo 24 yaliyojengwa kwa tumia kioo katika mkoa wa Hebei, yamefungwa tangu mwezi Machi mwaka 2018, kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha kitaifa CCTV.