Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa huwezi kupewa Mamlaka ya kuteua halafu usiwe na mamlaka ya kutengua.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumatatu, Novemba 4, 2019 wakati akiwaapisha wateule wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
“Na ninataka nikueleze kabisa hapa mwanzoni, Katiba inazungumza na sheria zinazungumza, unaweza kukaa miaka mitano ya mkataba wako unaweza pia kukaa hata mwaka mmoja," amesema Rais Magufuli.

"Katika maisha ya hapa duniani, huwezi kupewa mamlaka ya kuteua halafu usiwe na mamlaka ya kutengua."

No comments :
Post a Comment