Assalaam alaykum warahmatullaahi wabarakaatuhu
TAARIFA KWA UMMA
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tz, Sheikh Ponda Issa Ponda ameachiwa leo tarehe 20 July, 2020 kwa dhamana ya Polisi. Sheikh Ponda Issa Ponda alikamatwa na Polisi tarehe 11 July, 2020 akiwa ofisini kwake Ilala Dar es salaam.
Afya yake ni nzuri.
Ataongea na vyombo vya HABARI baada ya mapumziko mafupi. Siku, muda na wapi Mtajulishwa.
Ibrahimu Zuberi Mkondo
KATIBU WA SHEIKH PONDA
000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
NINI KILICHOMPONZA SHEIKH ISSA PONDA HATA AKAWEKWA NDANI BILA YA DHAMANA KWA SIKU TAKRIBAN 9 NI HICHI HAPA!
No comments :
Post a Comment