Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 28, 2020

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA DUA YA KUIOMBEA NCHI AMANI!

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na
Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaiba Editon Kisasi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhua Dua ya kuiombea Nchi Amani ilioandaliwa na UWT Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitia ubani
katika chetezo kuashiria kufungua kisomo cha Dua ya kuitakia Amani Nchi kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, ilioandaliwa na UWT Zanzibar. na (kushoto kwa Mama) Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi.Thuwaiba Editon Kisasi , Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi,Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi Leila Ngozi na (kulia kwa Mama) Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Zakia Bilal, wakihudhuria kisoma hicho kilichofanyika 26/10/2020.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitia ubani
katika chetezo kuashiria kufungua kisomo cha Dua ya kuitakia Amani Nchi kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi iliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, ilioandaliwa na UWT Zanzibar. na (kushoto kwa Mama) Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi.Thuwaiba Editon Kisasi , Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi,Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Asha Bilal na (kulia kwa Mama) Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Zakia Bilal, wakihudhuria kisoma hicho kilichofanyika 26/10/2020
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na
Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Dua kuiombea Nchi Amani wakati wa Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ilioandaliwa na U WT katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Mama) Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Siti Mwinyi, Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf Mama Zakia Bilal na (kushoto kwa Mama) Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaiba Editon Kisasi, Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, Mke wa Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi Leila Ngozi, wakitikia dua ya kuhitimisha kisomo hicho ikisomwa na Bi. Fatma Mliwa iliofanyika jana 26/10/2020
BAADHI ya Wananchi wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa
kisoma cha Dua kuiombea Nchi Amani ilioandaliwa na UWT, iliofanyika
katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.jana
26/10/2020.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment