dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 4, 2020

Uchaguzi Zanzibar 2020: ACT-Wazalendo yazindua Ilani ya Uchaguzi ya Zanzibar!

Chama cha ACT-Wazalendo leo kimezindua Ilani ya Uchaguzi ya visiwani Zanzibar ambapo Maalim Seif Sharif Hamad ambaye anagombea Urais ni Mgeni Rasmi

Akitoa muhtasari wa Ilani, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud amesema imegusa kila kitu na Katiba ya Zanzibar imesaidia kutoa mwongozo wa Ilani

Pia, ameeleza kuwa Ilani hiyo yenye Sura 19 inakusudia kurekebisha yanayopaswa kurekebishwa

Baadhi ya masuala yaliyojumuishwa katika Ilani ni Mamlaka ya Zanzibar, Muungano, Uongozi, Ulinzi na Usalama, Uhuru wa vyombo vya habari na Utalii


1601803617472.png

1601803632253.png

No comments :

Post a Comment