AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 29, 2020

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID NOOR MUHAMMAD MOMBASA KWA MCHINA!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor
Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammed Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.
(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment