
WAZIRI Mstaafu iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Nyaraka za Kazi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.
(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akisaini hati ya makabidhiano ya Nyaraka za Kazi baada ya kukabidhiwa na Waziri Mstaaf iliokuwa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo
26/11/2020.
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na
Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za Kazi na Waziri Mstaaf iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.
(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na UtawalaBora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na kutowa shukrani kwa Waziri Mstaaf Mhe Issa Haji Gavu na Watendaji wakati wa hafla ya makabidhiano ya Nyaraka za Kazi zilizofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.
(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishina Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na ( kulia kwake)
Waziri Mstaaf Mhe.Issa Haji Gavu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa makabidhiano ya Nyaraka za Kazi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar.Tr.26/11/2020.
(Picha na Ikulu)

No comments :
Post a Comment