AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, December 10, 2015

MWANACHAMA WA JAMII FORUMS HATAKI TENA KUMUAMINI RAIS MAGUFULI. KWANINI? SOMA HAPA CHINI.

Default Nimeamua kutomuamini tena Magufuli

Ndugu zangu kama sio unafiki ni madharau yaleyale yanaendelezwa mbele ya macho ya watanzania tukiwa tunaona,
nilianza kuwa na imani na Rais kwamba kwa kuwa ameanza kuonyesha mfano mzuri kwa utendaji kwa mwezi huu mmoja basi atatuletea watu wenye mwenendo mzuri na background yao ni safi
kitendo cha kutuletea Mwigulu aliyekuwa naibu waziri wa Fedha ili awe waziri kamili huku akiwa na makashfa kibao ya wizara yao kushindwa kukusanya kodi ni madharau
Mwakembe aliyeweka wezi waliofukuzwa siku chache zilizopita kule bandarini na kila siku tunasoma kwenye magazeti jinsi alivyotuletea mabehewa feki leo anarudishwa eti ni msafi anaweza kazi hayo ni madharau kwa watanzania
huyu makamba naye hana sifa yoyote ya kuwa Waziri ndani ya nchi yetu kwa uwezo wake mdogo na kashafa kibao za majungu na kupepeta maneno hatutaki mtu kama huyu
huyu Mulongo aliyerudishwa Nishati si ndiye yuleyule aliyefukuzwa serikali iliyopita kwa kushindwa kazi? leo hii anarudishwa tena mkifikiri tumesahau hasara aliyotuingizia?
nilianza kuwa na imani kwa mbaali na huyu Rais japo yupo ccm nilianza kidogo kumuamini lakini sio kuamini chama chake,
nilikuwa nasubiri nione ni watu gani ataleta ili wawe wasaidizi wake sasa basi kama ndio hao imani yangu imekufa moja kwa moja na huniambii tena kitu mara huu tusubiri tuone
watanzania wenye uwezo na wasomi mbona wapo wengi mpaka Nape unampa Uwaziri?kweli upo serious au unatutania//?\
sitaki tena kumuamini huyu Rais.



No comments :

Post a Comment