Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Makungu Mgongo akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi ambapo hadi sasa linakwenda vizuri katika Wilaya hiyo.
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mussa Suleiman akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Source: Mapara
No comments :
Post a Comment