Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, March 25, 2015

WISHING GREAT HEALTH TO HIS MAJESTY SULTAN QABOOS OF OMAN!


On the occasion of the return of HM Sultan Qaboos to
Oman from treatment abroad, we, the Zanzibar Ni Kwetu
Blog and our readers are conveying our best wishes and heartfelt greetings and salaams to the brotherly people
of the Sultanate of Oman.
May Allah continue to bestow good health upon him, 
so that he continues to be a shining example of prudence
and good leadership to the people of Oman and 
 the Arab World.
Ameen!

5 comments :

  1. Na uliza jameni, hili blogu ni la kizanzibari au la kiarabu? habari zake nyingi naona ni kuhusu oman, dubai, etc na hamna chochote kuhusu tanganyika. basi si bora lingeliitwa Oman Ni Kwetu au Dubai Ni Kwetu au uzuri zaidi lingeitwa Uarabuni Ni Kwetu kuliko kuliita Zanzbari Ni Kwetu na kumbe ni kuhusu uarabuni tu habari zake.
    kama juzi mnakumbusha vita ya barghashi na waingereza badala ya kukumbusha vita ya mkwawa au vita ya maji maji. barghashi yupo wapi leo.
    qaboos kumpa pole inakuhusuni nini nyinyi? anakujuweni wapi? nyinyi kwa qaboos ni watumwa tu.
    kumbe sitta hajakosea, bado mnaitaka kuipundua zanzibar. tafazalini acheni chuki na chokochocko zenu hizo. wekeni habari nzuri nzuri za tanzania hapa na sio kuweka habari mbaya tu kuhusu tanzania. mkifukuzwa huko uarabuni mtakimbilia nchi gani kama sio hapa hapa bongo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We, at Zanzibar Ni Kwetu, have no time to reply to stupid comments from nincompoops.
      However, constructive criticisms are welcomed with open arms!
      Admin / ZNK

      Delete
    2. Ujeuri mwingi basi.ndio maana nyerere alitaka kuvikokota visiwa vyenu kimoja mpaka antarctica na chengine mpaka artica. akiyajua zamani haya.

      Delete
    3. We, at Zanzibar Ni Kwetu, have no time to reply to stupid comments from nincompoops.
      However, constructive criticisms are welcomed with open arms!
      Admin / ZNK

      Delete
  2. waache na blogu yao. Zanzibar ina uhusiano mkubwa na Oman tangu enzi hizo, historia iko wazi whether you like it or not.Kama unaumia kuona makala za Oman, etc, basi usisome kwani umelazimishwa? tuache sisi watanganyika wengine tuendelee kupata makala hizi. Big up sana ZNK...

    ReplyDelete