Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 20, 2015

Zoezi la Uchukuaji wa Fomu Kugombea Uwakilishi likiendelea Zanzibar

Afisa Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bi Mwanapili Khamis Mohammed, akitowa maelezo kwa Wagombea wa Uwakilishi waliuofika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Uwakilishi jinsi ya kujaza fomu hizo na kufuata taratibu za Tume katika ujazaji wake, akiwa katika Afisi za Tume Maisara Zanzibar  
Wagombea Uwakilishi katika majimbo ya Zanzibar wakimsikiliza Afisa wa Usimamizi Uchaguzi Waila ya Majini Unguja Mwanapili Khamis Mohammed akitowa maelezo ya ujazaji wa famo hizo wa kwanza Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar Maalim Rashid Ali Juma, Mgombea wa Uwakilishi wa Kwahani anayetetea Kiti Chake Ali Salum na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Khamis Mussa wakifuatilia maelezo hayo na wa mwisho Mgombea Ubunge wa Jimbo la Amani Maalim Mussa Hassan Mussa.

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akimsindikiza Mwakilishi wake Afisi za tume kuchukua fomu akiwa katika hafla hiyo.

                                Mgombea Uwakilishi Jimbo la Amani Ndg Rashid Ali Juma.


Afisa Msimamizin wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini  Unguja Mwanapili Khamis Mohammed akimkabidhi Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Amani Ndg Rashid Ali Juma kuwania kuteuliwa kugombea Jimbo hilo. Wakati wa zoezi la utoaji wa fomu katika Afisi za Tume Maisara


Afisa Msimamizin wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Mwanapili Khamis Mohammed akimkabidhi Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Kwahani Ali Salum Haji, kuwania kuteuliwa kugombea Jimbo hilo. Wakati wa zoezi la utoaji wa fomu katika Afisi za Tume Maisara

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kwahani Ali Salum Haji, akionesha Fomu zake baada ya kukabidhi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar 

Afisa Msimamizin wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Mwanapili Khamis Mohammed akimkabidhi Fomu ya Kugombea Uwakilishi Jimbo la Chumbuni Miraji Khamis Mussa, kuwania kuteuliwa kugombea Jimbo hilo. Wakati wa zoezi la utoaji wa fomu katika Afisi za Tume Maisara


                    Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chumbuni Zanzibar Miraji Khamis Mussa


Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kwahani Ali Salum akitoka Afisi za Tume za Uchaguzi Maisara baada ya kukabidhiwa famu zake kugombea Jimbo la Kwahani Zanzibar.




Mgombea Uwakilishi Jimbo la Amani Rashid Ali Juma akitoka Afisi za Tume za Uchaguzi Maisara baada ya kukabidhiwa famu zake kugombea Jimbo la Kwahani Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chumbuni Zanzibar Miraji Khamis Mussa, akizungumza na waandishi wa habari baada yac kuchukua famu ya kugombea Uwakilishi kwa tiketi ya CCM Jimbo la Chumbuni Zanzibar. 

No comments :

Post a Comment