dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 30, 2018

Mwanahabari afutwa kazi kwa kutetea wapalestina Umoja wa Mataifa!


Mwanahabari wa CNN Marc Lamont Hill afutwa kazi  baada ya kusikika akitetea wapalestina katika hotuba yake  Umoja wa Mataifa.

Mwanahabari huyo ambae amefutwa kazi na uongozi wa CNN  alitoa hotuba yake Umoja wa Mataifa baada ya  kutembelea maeneo ya wapalestina.

Mshauri  wa kituo hicho cha kimataifa cha Marekani Barabara Levin  hakutoa sababu za kueleweka kuhusu kufutwa kazi Marc Lamont Hill.

Mshauri huyo alifahamisha bila ya kutoa sababu kwa kusema kuwa  kwa sasa Marc Lamont Hill  sio mwahabari katika kituo cha CNN.

Marc Lamont Hill  katika hotuba yake Umoja wa Mataifa amezungumza kuhusu  madhila ya wapalestina baada ya kutembelea  katika maeneo yanayokaliwa kimabavu na Israel.

Makundi ya misimamo mikali ya kiyahudi yalitoa wito CNN na chuo kikuu anachofundisha Marc Lamont Hill afutwe kazi.

Chuo hicho kimefahamisha kuwa alioyazungumza  mwanahabari huyo Umoja wa Mataifa ni haki ya kikatiba yeye kama raia wa Marekani.

No comments :

Post a Comment