Above: The symbols of the two warring groups of the disintegrated Tanzania Diaspora!
"Sheria ya Uraia ya mwaka 1995 ni baguzi', asema hayo Mwenyekiti wa Muda wa kundi la Watz wanaoishi nje wanaopigania Uraia Pacha kwa nchi ya Tanzania.
Mwenyekiti huyo aliyaandika hayo alipokuwa akimfahamisha mwanaharakati mmoja wa kundi la Hadhi Maalumu ambae yupo msitari wa mbele kupigania Hadhi Maalumu kwa WaTz wa nje na sio Uraia Pacha.

Mwenyekiti huyo ambae anawaomba WaTz wote kuchangia mfuko maalumu ili kesi ya kuitaka Mahakama Kuu ya Tanzania iichambue sheria ya uraia ya mwaka 1995 ipelekwe mahakamani, aliandika...
"Kaka Zain,
Ishu yetu sote ni moja
Kutambuliwa kama waTanzania
Sisi hatudhani kwamba SS (Special Status) ndio njia sahihi kwa utambulisho wetu.
Sisi tunadhani Dual Citizenship (DC) ndio kitu bora.
Kwanini?
Dual citizenship itatupa haki zote za kikatiba isipokuwa kupiga na kupigiwa kura (Ibara ya 5 Kifungu cha pili cha katiba ya JMT)
SS zimekuwa zikipigiwa kelele katika nchi nyingi ikiwemo India na Ethiopia.
Zanzibar wametengeneza rasimu ya diaspora na kuipitisha bungeni kwao mwaka 2020.
Rasimu Hiyo pia haimrudishii raia aliyechukua uraia nchi nyingine haki zake zote za uraia.
Kwa mfano, diaspora wa kiZanzibari akichukua hiyo SS haitambuliki hata Tanzania Bara.
Sisi hatutaki hii ishu itukute!
Tunaomba mchango wako ili tuende mahakani kupata suluhishi la sintomfahamu hii.
Kwanini njia za mahakama?
DC Hoja zetu za msingi ni kwamba
1) Sheria ya uraia ya mwaka 1995 ni batili
Kwanini?
1) inabagua wanawake na wanaume
a) mwanamke wa KiTanzania akiolewa nchi inayompa uraia wa kuolewa ana ruhusa kisheria kubaki na uraia wa Tanzania (dual citizenship). Wakati wanaume hawaruhusiwi.
b) Sheria ya Uraia ya mwaka 1995 ni baguzi kwa sababu mwanaume MTanzania akiowa mwanamke wa nchi nyingine huyo mwanamke anapewa uraia wa Tanzania wakati mwanaume wa nchi nyingine akioa mwanamke wa kiTanzania hapati nafasi hiyo.
Katiba yetu hairuhu sheria ndogo zinazotungwa kuwa za kibaguzi.
2) Due Process
Sheria ya uraia ya 1995 Hampi raia wa Tanzania wa kuzaliwa due process kwenye kupoteza uraia wake. Katiba inaruhu MTanzania yeyote kuukana uraia wake kwa process ya maombi kwa waziri wa mambo ya ndani. Na waziri ana mamlaka ya kukubali ombi ama kulikataa.
Sasa sheria anayo Sema unapoteza uraia automatically ni sheria ambayo haifuati due process iliyoainishwa kwenye katiba.
3) Katiba ya Tanzania haikuainisha wazi (kinagaubaga) raia wa Tanzania ni Nani? Hivyo basi kunautata mkubwa na matatizo ya kubambiana kesi za uraia kwa vile katiba haipo clear kwenye ishu ya uraia. Kesi yetu itaitaka Mahakama kutafsiri MTanzania ni Nani?
Hizi ni hoja chache za kisheria. Zipo hoja lukuki".
Alimalizia Mwenyekiti huyo wa Muda wa kundi la Uraia Pacha kwa maneno yafuatayo...."Changia safari hii itakayokurudishia wewe, mwanao, na kizazi chako chote uTanzania wao".

CAUTION: Any opinion expressed in this blog does not necessarily reflect the view of the blog's owner.
No comments :
Post a Comment