Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Sunday, June 30, 2013
OBAMA IN TANZANIA TOMORROW!

Young boys post the portrait of US President Barrack Obama at Oysterbay along Ali Hassan Mwinyi road in Dar es Salaam yesterday. President Obama is expected to jet in at the Julius Nyerere International Airport tomorrow for a two-day official visit to Tanzania. (Photo: Seleman Mpochi)
BEST IPP EMPLOYEES REWARDED!

Wafanyakazi bora wa mwaka wa IPP waliopata tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa IPP wakati wa sherehe maalum ya wafanyakazi iliyofanyika jana. (Picha na Omar Fungo)
Karibu sana Tanzania Rais Barack Obama
NA MHARIRI
30th June 2013
Kiongozi huyu anaitembelea Tanzania wiki inayoanza kesho, ikiwa ni miaka mitano baada ya mtangulizi wake, Rais mstaafu George Bush kuzuru taifa hili na kuwapatia Watanzania msaada wa karibu Dola milioni 700.
Marekani ni rafiki mkubwa wa Tanzania na taifa hili kubwa limekuwa mstari wa mbele katika kusaidia juhudi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii kuanzia malaria, VVU na Ukimwi nishati na mawasiliano.
Kwa mfano sekta ya afya, Watanzania wengi wamenufaika na dawa za kufubaza makali ya VVU wakiwamo wajawazito na watoto zilizotolewa kupitia Mpango wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR). Mbali na kupata dawa hizo wagonjwa wa kifua kikuu wametibiwa pia.
Shirika la Changamoto za Milenia (MCA) la Marekani nalo ni jina lenye nafasi kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania ambapo limefanikisha miradi mingi ikiwamo ujenzi wa barabara mkoani Tanga, Ruvuma, miradi ya kuboresha upatikanaji wa umeme na nishati umejengwa Dodoma na Jijini Dar es Salaam.
Obama.....................Obama
NA WAANDISHI WETU
30th June 2013
Kutua Dar kesho... Jiji lazizima mabango ya kumkaribisha kila kona
Ulinzi wazidi kuimarishwa, askari wa JWTZ wahusika.jpg)
Rais wa Marekani Barack Obama
Rais Obama, atawasili nchini kesho akitokea Afrika Kusini, ambapo pamoja na mambo mengine, alizungumza katika mkutano wa ‘viongozi vijana wa Afrika’ na kujibu maswali kutoka nchi tofauti.
Mkutano huo ulifanyika jana jioni huko Soweto nchini Afrika Kusini, ambapo alipokewaa na kujibu maswali kutoka Kenya, Uganda, Nigeria na Afrika Kusini kwenyewe.
Jijini Dar es Salaam, shughuli kadhaa zikiwamo za ulinzi na usalama, zinafanyika kwa kasi na umakini kuhakikisha ziara ya Rais Obama inafanyika pasipo bughudha. kujibu maswali kutoka Kenya, Uganda, Nigeria na Afrika Kusini kwenyewe.
Jijini Dar es Salaam, shughuli kadhaa zikiwamo za ulinzi na usalama, zinafanyika kwa kasi na umakini kuhakikisha ziara ya Rais Obama inafanyika pasipo bughudha.
Hata hivyo, sehemu kubwa inayohusu masuala ya itifaki, ulinzi na usalama yanafanywa na taasisi za Marekani, kwa kuzishirikisha taasisi za ndani kwa kiwango kidogo.
Obama responds
BY STAFF WRITER
30th June 2013

US president Barrack Obama
But on Saturday, Obama responded to his critics, urging Africans to ask more questions about the lop-sided deals they seal with some foreign investors, while dismissing talk of a Chinese and US scramble for influence on the continent.
As Obama lands in Dar on Monday, he will be greeted with mixed reactions; the majority of people here see him as a symbol of inspiration to the ‘Joshua’ generation, while a minority believe his tour is about taming growing Chinese influence in the country as well as marketing American business ventures.
Obama is the third US president to visit Tanzania over the past decade. The first US president to touch the Tanzanian soil was Bill Clinton who toured Arusha, while the second was George W. Bush who came to Tanzania in 2008 and spent four days here.
MTWARA GAS!!!
The untold story of Mtwara gas riots
BY GUARDIAN ON SUNDAY CORRESPONDENT
30th June 2013
The army and police were sent to quell the unrest, using teargas and live rounds, in the main southern town of Mtwara and in Mikindani, a smaller town around ten kilometres away in which at least three people died.
Government and state-friendly media sources have typically portrayed the events as thoughtless violence and wanton criminality. However, this detracts from a widespread and more urgent malaise about how the government has handled the discovery of natural resources.
The ‘hidden agenda’ against the south
Until recently, the Mtwara region, on the border with Mozambique and looking across the Indian Ocean, did not receive much attention from the media, multinational corporations or the government. The region had been best known for its Makonde wood carvings, its cashew nuts, and little else, and was often perceived as somewhat traditional or backward.
It is common for Tanzanians from other parts of the country to refer to those from the south – which conventionally means the Ruvuma, Lindi, and Mtwara regions – as washamba, which can be literally translated as ‘farmers’ but is often used as a pejorative term more accurately translated as ‘hicks’ or ‘peasants’.
Obama is our sacred guest, let us welcome him with honour, and peace
BY EDITOR
30th June 2013

Editorial Cartoon
Obama whose origin is Kenya’s South Nyanza Province in Kogelo village, the land of Luos, has ditched his native country, and has chosen Tanzania as the only place that he would visit in this region during his second visit to Africa. In his Luo language, Obama will be ‘wendo modhial’ or sacred guest of the people of the United Republic of Tanzania.
However, since the news broke out that the US President Barack Obama will be visiting Tanzania, but won’t go to his native country, Kenya, there have been so many speculations about the motive behind his visit.
What annoys many is that most of the rumours do not carry any credible evidence; some are propagated by those who see malice in everything done by United States of America. For instance, there’s rumour that Obama is coming to Tanzania because of the huge natural gas that has been discovered in the Southern regions of Lindi and Mtwara.
Even when George Bush came here in 2008, his visit was also connected to the African Barrick Gold, while others claimed that he came here strategically to lobby Dar es Salaam to allow its territory to be used as a command base for US Africa Force (Africom). It was also rumoured that the US would acquire a chunk of Kigamboni for its military base. But till today, that area still belongs to Tanzanians and is set for a major urban development programme in future.
Saturday, June 29, 2013
Serikali yasalimu amri tozo ya mafuta,kusafirishaa fedha kwa njia ya simu
NA JOHN NGUNGE
29th June 2013
Wabunge waipongeza bajeti.jpg)
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa
Hata hivyo, imepandisha kidogo tozo kwa mafuta ya taa ili kuondoa uchakachuaji.
Akiwasilisha majumuisho ya hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha bungeni jana, Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, hata hivyo, alisema serikali imeongeza ushuru wa barabara.
Alisema ushuru wa barabara umeongezwa kutoka Sh. 200 hadi Sh. 223 kwa lita moja ya mafuta ya petroli na Sh. 200 hadi Sh. 263 kwa lita moja ya mafuta ya dizeli, fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya barabara.
Kikwete: Afrika ibadilike
NA MUHIBU SAID
29th June 2013
Asisitiza sayansi na teknolojia kuboresha maisha
Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa Smart partnership unaohudhuriwa na wakuu wa nchi zingine duniani jijini Dar es Salaam jana.kulia baadhi ya wajumbe wa mkutano huo(PICHA:TRYPHONE MWEJI)
Amesema changamoto kubwa inayoikabili Afrika ni ukosefu wa teknolojia ya Sayansi inayotoka nje ya bara hilo ambayo ni ghali kwa serikali na watu binafsi.
Dk. Kikwete alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano unaohusu Majadiliano ya Kimataifa kwa Manufaa ya Wote (ISPD) 2013, unaohudhuriwa na marais 9, marais wastaafu watano, wakuu wa serikali na wajumbe wapatao 800 kutoka nchi mbalimbali duniani.
Alisema Afrika haitaweza kupiga hatua katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii bila ya uwekezaji wa kutosha katika Sayansi na Teknolojia.
Alisisitiza kuwa uwekezaji huo ufanyike kwa vijana ambao mustakabali wa bara la Afrika unawategemea wao. Alisema mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia ndiyo yatakayorahisisha huduma za kijamii katika nchi hizo.
“Tukiwekeza kwenye elimu ya Sayansi na Teknolojia tutasonga mbele katika maendeleo na kuinua uchumi wa nchi zetu kutokana na ubunifu watakaojifunza vijana wetu,” alisema.
Dk. Kikwete alisema nchi zinazoendelea zina changamoto kubwa ya kupambana na matatizo yao kutokakana na kukosa elimu ya Sayansi na Teknolojia.
Alisema upatikanaji wa teknolojia na ubunifu ndio njia pekee itakayozikomboa nchi hizo.
“Bidhaa nyingi za teknolojia zikipatikana, hazishikiki kutokana na gharama kubwa, lakini tukiwa na uwezo wa kuzitengeneza wenyewe, tutasonga mbele,” alisema na kuongeza kwa kuwataka viongozi hao kulijadili suala hilo katika mkutano huo.
Hata hivyo, Dk. Kikwete alisema nchi zote za Afrika zinapaswa kuanza elimu ya sayansi na teknolojia kwa watoto wao kuanzia shule za msingi.
Aidha, alizishauri nchi za Afrika kuanzisha vyuo vikuu na taasisi za utafiti wa Sayansi na Teknolojia kinyume chake mustakabali wa Afrika utakuwa shakani.
Marais wengine waliotarajiwa kuwasili kwenye mkutano huo ni pamoja na Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye hakuweza kufika baada ya kutoa udhuru.
CHANZO: NIPASHE
SRI LANKAN PRESIDENT IN TANZANIA!

President Jakaya Kikwete's toast to mutual friendship with visiting Sri Lanka leader Mahinda Rajapaksa at a national banquet he hosted in honour of his guest in Dar es Salaam Thursday night.Photo: Freddy Maro.
Uvccm Zanzibar wamfananisha Wakili na Mandela
NA MWANDISHI WETU
29th June 2013

Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja, Salha Mohamed Mwinjuma, mara baada ya ujumbe wa UVCCM kumaliza kuzuru kaburi lake Makunduchi Kisiwani Unguja jana.
Salha alisema hayati Wakil aliingia madarakani mwaka 1985 mara baada ya Rais Ali Hassan Mwinyi kuondoka na kukaa katika uongozi kwa kipindi kimoja, baadae akamwachia Dk Salmin Amour.
"Huyo ni Mandela wa Afrika Mashariki na Kati, hakutaka kung'ang'ani madaraka, aliheshimu umri wake na kuamua kumpisha mgombea kijana, ni kama Mandela aliyekaa gerezani kwa miaka 27 na madarakani kwa kipindi kifupi akijiondoa," alisema Mwenyekiti huyo wa UVCCM.
Aliwataka viongozi wengine Afrika kuiga mfano wa hayati Mzee Wakil ambaye hakuweka mbele madaraka na kwamba amekufa na kuiachia heshima ya aina yake Zanzibar.
Aidha alisema itakuwa ni busara kwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad naye akaiga mfano huo wa kustaafu siasa ili kuwapisha vijana wanaochipukia kuongoza CUF na kugombea urais.
Akizungumzia mfumo wa Muungano , Salha alisema ni hatari kufanya majaribio au kutaka kuyaweka rehani maisha ya watu na maendeleo yao kwa kutoa madai magumu au kuwaghilibu wananchi kutaka Muungano wa mkataba.
Alisema msingi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kuwepo kwa umoja, utulivu na kuimarika kwa mahusiano watu wa pande mbili hivyo ni vyema kero na malalamiko kushghulikiwa na kutatuliwa kuliko kuvunja Muungano.
CHANZO: NIPASHE
Friday, June 28, 2013
Maadhimisho ya siku ya upigaji vita dawa za kulevya Zanzibar

Waziri wa Afya Juma Duni Haji, akiwahutubia wananchi na waliocha kutumia madawa ya kulevya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Dawa za kulevya Muhmoud Mussa, na kushoto Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Hassan Othman.
Drug abuse raising HIV cases in Z'bar
BY MWINYI SADALLAH
28th June 2013

Fatma Abdulhabib Fereji, Minister of State from the office of the First Vice President
The use of infected needles has increased HIV transmissions in Zanzibar as revealed by the Minister of State from the office of the First Vice President Fatma Abdulhabib Fereji, when presenting budget estimates for the office of the First Vice President of Zanzibar in the fiscal year 2013/2014.
With only 1.3m in population, Zanzibar’s transmission rate has increased from 0.6 percent 2011 to one percent and the minister noted that the situation requires concerted effort by the government and citizens to curb and revert.
In that wise, minister Fereji reported that the Commission has helped 22 wards generate plans to fight the trend against and so far a community of people living with Hiv/Aids (ZAPHA+) has been built and empowered with a high capacity to fundraise and it had already collected 551.4/-m by March, this year.
However, she said that the Commission of AIDS Zanzibar is still facing a budget deficit, pointing out that the amount they have received from the government for development works is only 15m/- of requested 50/-m but 1.1/-bn in donor funds has been issued to bridge the shortage.
Minister Fereji said that this year the Commission has planned four goals including coordinating and overseeing the implementations of policies, law and second national strategy of combating Aids, enhance the quality of data collection, coordinating issues of news defence and communication concerning Aids so as to simulate moral changes in the societies in the island.
Of the drug abuse problem grappling the Island and occasioning the increase of transmissions, minister Fereji said 22 people are in custody facing drug trafficking charges and that the government has begun to prepare draft regulations to combat drugs in Zanzibar.
Also, she reported that the government was running a drug abuse campaign to raise awareness in students on the effects of drug abuse and so far 6,270 students from some 45 schools have been reached.
With only 1.3m in population, Zanzibar’s transmission rate has increased from 0.6 percent 2011 to one percent and the minister noted that the situation requires concerted effort by the government and citizens to curb and revert.
In that wise, minister Fereji reported that the Commission has helped 22 wards generate plans to fight the trend against and so far a community of people living with Hiv/Aids (ZAPHA+) has been built and empowered with a high capacity to fundraise and it had already collected 551.4/-m by March, this year.
However, she said that the Commission of AIDS Zanzibar is still facing a budget deficit, pointing out that the amount they have received from the government for development works is only 15m/- of requested 50/-m but 1.1/-bn in donor funds has been issued to bridge the shortage.
Minister Fereji said that this year the Commission has planned four goals including coordinating and overseeing the implementations of policies, law and second national strategy of combating Aids, enhance the quality of data collection, coordinating issues of news defence and communication concerning Aids so as to simulate moral changes in the societies in the island.
Of the drug abuse problem grappling the Island and occasioning the increase of transmissions, minister Fereji said 22 people are in custody facing drug trafficking charges and that the government has begun to prepare draft regulations to combat drugs in Zanzibar.
Also, she reported that the government was running a drug abuse campaign to raise awareness in students on the effects of drug abuse and so far 6,270 students from some 45 schools have been reached.
SOURCE: THE GUARDIAN
Obama: Mandela ni shujaa
NA WAANDISHI WETU
28th June 2013
Asema urithi wake ni wa milele
Pia aimwagia sifa Senegal.jpg)
Rais wa Marekani,Barack Obama
Kadhalika, Obama amemsifia Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kuwa ni shujaa wa dunia.
Rais Obama aliyasema hayo jana katika hotuba yake jijini Dakar wakati akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ikulu ya nchi hiyo.
Rais Obama aliisifu Senegal kuwa ina demokrasia barani Afrika kwa kufanya chaguzi zake kwa uhuru na haki huku ikiwa na utawala bora.
“Senegal ni moja ya nchi zenye demokrasia imara zaidi katika Afrika na mmoja wa washirika wa nguvu kwetu katika ukanda huu,” Obama alisema nje ya ukumbi wakati wa mkutano huo ambao pia ulihudhuriwa na Rais wa nchi hiyo Macky Sall.
Bajeti ofisi ya Maalim Seif yakwama
NA MWINYI SADALLAH
28th June 2013
.jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad
Makadirio ya matumizi ya ofisi hiyo yalikwama kupitishwa juzi jioni baada ya Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu kuzuia shilingi katika fungu la uratibu na utawala lililopangiwa kupata Sh. 768,000,000.
Kati ya fedha hizo, mwakilishi huyo alitaka Sh. milioni 270 zikatwe na kupelekwa kwenye shughuli za kudhibiti uharibifu wa mazingira, kupambana na dawa za kulevya na kusaidia watu wenye ulemavu.
Jussa alitoa hoja hiyo wakati Baraza lilipokaa kama kamati ya matumizi kupitisha vifungu vya makadirio ya bajeti ya ofisi hiyo, ambapo alisema eneo hilo linapatiwa fedha nyingi lakini tija inayopatikana hailingani na thamani ya fedha hizo.
Museveni alalamikiwa `kumtupa` nje JK
NA RAPHAEL KIBIRITI
28th June 2013
.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba
Hivi karibuni, Rais Museveni alimwalika Rais Kenyatta kwenye mkutano uliomshirikisha Rais Kagame, ambao pamoja na mambo mengine, walikubaliana kuendesha miradi ya reli na bomba la mafuta kutoka Kigali, Uganda kwenda bandari ya Lamu, Kenya.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alisema kitendo hicho kinaonyesha muelekeo usio mzuri kwa mustakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
“Kunapojadiliwa mradi mwingine kama wa reli, wakati tayari kuna mradi wa reli uliokwishapitishwa kujengwa na EAC unaotokea Burundi, Rwanda na kuja kuunganishwa na reli ya kati, katika eneo la Kahama unaleta utata,” alisema Profesa Lipumba.
Marais tisa kukutana leo Dar
NA MUHIBU SAID
28th June 2013

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaska baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana kuhudhuria mkutano wa Majadiliano ya Manufaa kwa wote. PICHA: TRYPHONE MWEJI
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, aliwaambia waandishi wa habari, Ikulu, jijini Dar es Salaam jana kuwa majadiliano hayo yatajikita katika kubadilishana uzoefu kuhusu matumizi ya teknolojia katika kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii barani Afrika.
“Tulifanya majadiliano hayo kwenye kanda zaidi ya 11. Washiriki zaidi ya 500 walishiriki. Vikundi mbalimbali vilishiriki katika ngazi ya nchi na kanda,” alisema Balozi Sefue.
Alisema mbali na marais, majadiliano yanayoanza leo, pia yatahudhuriwa na makamu wa rais wawili, mawaziri wakuu na mawaziri kutoka baadhi ya nchi duniani.
MPs threaten to block Finance bill
BY LUSEKELO PHILEMON
28th June 2013
Call for a budget that is pro-poor
Govt to issue its stand today
Finance minister Dr William Mgimwa (L) and Finance deputy ministers Janet Mbene (C) and Saada Mkuya Salum (R) take notes in National Assembly in Dodoma yesterday. (Photo: Khalfan Said)
Following the MPs’ threat the government is today expected to issue its stand on the matter.
Debating the bill in the House, lawmakers called on the government to explore other sources of revenue rather than relying on taxing fuel, noting that its sensitivity will scale-up inflation.
Ubungo MP, John Mnyika said for the government to continue increasing the imposed tax on fuel every year has a negative impact to the country’s economy and ordinary Tanzanians and as such, suggested the need for the government to look into alternative sources of revenue.
“Tax on fuel, mobile phones…is a thorn to the economy and hikes the cost of living…there are many other areas to be tapped,” the MP said, pledging not to support the budget.
Sri Lankan President Mahinda Rajapaska in Tanzania!

President Jakaya Kikwete with Sri Lankan President Mahinda Rajapaska at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday shortly after the latter jetted into the city for an official visit to Tanzania. (Photo: Tryphone Mweji).
Mouse cloned from single drop of blood
From a single drop of blood...Researchers from the Riken BioResource Center in Tsukuba, Japan are reporting that they have successfully cloned a mouse using cells from just a drop of blood.
White blood cells — which defend the body from germs — have been used for cloning before, but they have usually been collected from less-than-convenient sources, like bone marrow, the lymph nodes and the liver. In this case, the researchers wanted to find out if they could use cells from a more convenient source — 'peripheral blood', like that taken from a vein in an arm, leg, or in the case of the mouse, the tail.
[ Related: Scientists decode DNA of 700,000-year-old horse ]
The process is the same, no matter where you get the white blood cell from. It's called 'somatic-cell nuclear transfer', and it involves transplanting a white blood cell nucleus — the part that has all the genetic information — into an unfertilized ovum (or egg cell) that has had its nucleus removed.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)



